Friday, August 29, 2014
MTANGAZAJI WA CLOUDS FM ( DIVA) AMJIBU ZITTO KABWE KWA KUVUJISHA MESSAGE ZAKE AKIMTONGOZA .
Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni, hivi karibuni baada ya zitto
kumkana Diva mtangazaji wa alla za roho wa clouds FM, Kuwa hajawahi kuwa
naye kimapenzi na Diva amekuwa akijitangaza sana amekuwa naye
kimapenzi, sasa Diva kamuanika hadarani ona hapo chini, ila duu huyu
mwanamke ni kiboko,salaleeeeee
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment