LULU AWAJIBU WANAOSEMA HAWEZI KUMPATA JUSTIN BIEBER.
“Mapemaaaa...Kabla
cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa kuandika ndoto za nn cjui...Mara
cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda kimeshuka...msinijazie
comment😂😂😂Acha niwape ufafanuzi kdgo...ni hv Huyu Bwana swala
ya yy kupenda....nimemwachia awapende kina @selenagomez na wengine wote
anaotaka kuwapenda...ila swala la yy kupendwa Aniachie Mimi....yan hyo
kazi yangu....!!!
Sasa Kama ni ndoto Wallah
ctaki kuamka,Kama ni ufala...yani ninaukubali kwa asilimia 150%,na
mengine mengine yote...sasa Kama nakuchefua,Nina uhakika Zile ndimu za
@diamondplatnumz haziwezi kukutosha mana hiki kichefuchefu co cha
kuisha,bora utafute mbegu ya Malimao au mbilimbi upande kwako kbsa....Na
hili Zoezi ni endelevu...yani kila Jumatatu...Kama Mshahara vile....!!!
#MCM...... #Nilikuwepo”
HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment