taarifa hizo zimetoelewa kutoka kwa Mtu asiyetaka kuweka jina lake hadharani akiwa Huko Maiduguru ambapo alikimbilia baada ya Wanamgambo hao kuvamia Kijiji Chao.
Friday, August 15, 2014
Kundi la Wanamgambo la Boko Haram lateka tena Wanaume 100 huko Borno Nigeria.
Taarifa zimeripoti kuwa katika harakati za utekaji huo kiasi cha watu 10 walipoteza maisha na kwamba tukio Hilo Limetokea Jana Thursday, August 14, 2014.
taarifa hizo zimetoelewa kutoka kwa Mtu asiyetaka kuweka jina lake hadharani akiwa Huko Maiduguru ambapo alikimbilia baada ya Wanamgambo hao kuvamia Kijiji Chao.
Taarifa zaidi ya tukio Hili lakini kwa Lugha ya kiingereza bofya hapa.
taarifa hizo zimetoelewa kutoka kwa Mtu asiyetaka kuweka jina lake hadharani akiwa Huko Maiduguru ambapo alikimbilia baada ya Wanamgambo hao kuvamia Kijiji Chao.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment