KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI TABATA, DAR AKAMATWA.
Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi.
Raia wakipanga kumchoma moto kibaka huyo.
Kibaka aliyetoroka kituo cha polisi Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa tano asubuhi maeneo ya msimbazi vingunguti na kurudishwa kituoni.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment