Monday, July 21, 2014
Mrembo Ajikojolea kama mtoto baada ya kufakamia Mvinyo wa watu; Jamaa lake lamtoroka kukwepa Soo.
Hii tabia ya kupiga mitungi bila kipimo jamani muiache kina dada, mwanamke mzuri ni yule ambaye hanywi pombe a anaagiza anaknywa nyumbaniau hakubali kunywa pombe bila boy wake kuwa karibu kwani akilewa jamaa atamhakikishia salama wa kutosha, sasa tazama huyu dada aliyelewa na kuanza kujikojolea oyo huku yeye mwenyewe akiwa hajui anachokifanya, chonde jamani ulevi nomaaaaaaaa


0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment