Msanii wa Orijino Komedi Joti na msanii wa filamu Lulu, wakikumbatiana katika picha za harusi, huku MC Pilipili wa harusi hiyo akishuhudia kwa shauku.

......sasa unaweza kumbusu bibi harusi!
NAJUA WABONHO HAMUKAWII SEMA ZIME EDITIWA ILA FRESHA KESHO NTAKULETEENI VIDEO KAMILI YA HARUSI HIYO FUATILIENI BLOGU HII BY JIONI HIVI ITAKUWA TAYARI
Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment