Mshambuliaji wa Uruguay na clabu ya Liverpool Luis Suarez amepewa adhabu NA shirikisho la soka Duniani yaani FIFA ya kutoshiriki shuguli zozote za mpira kwa mda wa miezi minne na kuto cheza match 9 za kimataifa kufuatia kumng'ata meno beki wa Italy Giorgio Chiellini.
Uruguay and Liverpool striker Luis Suarez has been banned for four months after being found guilty of biting Italy defender Giorgio Chiellini during Tuesday's World Cup game between the sides.
Toa maoni yako hapo chni kama hii adhabu itamfaa
Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment