Thursday, March 6, 2014

Utaa kuhusu mahusiano ya mshikaji huyu na Masogange baada ya Picha hizi waibuka.

 PICHA mpya ya ‘video queen’ matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ na mwanaume mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja, imezua utata kutokana na ukaribu wao.


Picha hiyo ilitupiwa katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita huku a na maneno kuwa wawili hao åç wapendanao hali iliyosababisha wadau wengi kupongeza kuwa ni kapo nzuri.
Agnes Jerald ‘Masogange’ katika pozi na mwanaume ambaye hakujulikana jina lake.
“Mh! Kapo nzuri jamani, atulie sasa hapa Masogange,” mmoja wa wachangiaji alipongeza. Alipotafutwa Masogange kwa njia ya simu, hakupokea! Jitihada zinaendelea kuondoa utata huo.

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top