Mshikaji atembezwa uchi mitaani baada ya kufumwa na mke wa mtu.
unaambiwa mke wa mtu sumu baadhi ya wanaume bado hawaamini kama huyu aliyebabwa na camera yetu akizungushwa mtaaani uch wa mnyama baada ya kufumwa akiwa anaponjoka na mke wa mtu.
Yakikukuta ndo uta jua ila tahadhari Mke wa Mtu nomaaa.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment