Johari! Bongo hakuna mapenzi ya dhati labda ulaya.
Johari:
MKONGWE Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’, ametoa mtazamo wake kwa kusema Bongo hakuna mapenzi ya dhati, wengi wanaangalia maslahi.
Akizungumza na Bongowood, Johari ambaye alidaiwa kumwagana na Vincent Kigosi ‘Ray’, alitiririka:
“Bongo ni wizi mtupu, labda Ulaya. Kila siku sisi tunadanganyana tu,” alisema Johari.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment