CHADEMA kuanza kampeni ya Chopa na kamanda Lema jimboni kalenga Iringa leo.
Leo ndani ya KALENGA tunaanza kampeni ya chopa, pamoja na kamanda Lema. Mpaka kieleweke.
Yetu macho kwani jimbo hilo kama CHADEMA watakaza kampeni wanaweza kulinyakua.
CREDIT:Na Peter Msigwa .
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment